BETI BILA BANDO NA SOKABET
Unapojiuliza kuwa ni wapi utabeti bila bado basi jibu lake ni SOKABET. Sasa unaweza kubeti bila bando kwa wateja wa Vodacom, Tigo, Halotel na Airtel. Kwa unaweza kubonyeza *149*35# na kuamua ushindi wako. Utumie simu janja au kiswaswadu, ni wewe tu. Utaweza
kubashiri michezo zaidi ya 20, kuweka na kutoa pesa, kuangalia historia ya
mikeka yako, na hata kupata taarifa za akaunti yako kwa uharaka kabisa.
Haya ni baadhi ya maswali ambayo unaweza ukawa unajiuliza
kuhusu huduma hii.
1.
Je ni lazima
nifungue akaunti mpya au ileile niliyonayo?
Kama laini ya simu uliyosajilia Sokabet hapo awali ndio ipo kwenye simu
muda huo unataka kubashiri, basi baada ya kubonyeza *149*35# utapaswa kuchagua
lugha na moja kwa moja utaelekezwa kwenye menyu kuu. Tofauti na hapo utakua
kama mteja mpya, na baada ya kubonyeza *149*35# utachagua lugha na kisha
utatakiwa uingize namba ya simu ujisajili.
2.
Ninawezaje
kuweka pesa katika akaunti ya Sokabet ili nibashiri bila bando?
Kuweka pesa ni rahisi sana, unachotakiwa kufanya ni
kuingia kwenye menyu ya malipo kulingana na mtandao unaotumia kisha chagua lipa
bili na weka 335757 kama namba ya kampuni. Kisha unatakiwa uweke namba yako ya
simu kama namba ya kumbukumbu. Utamaliza utaratibu wa malipo
kwa kuingiza namba ya siri. Endapo mtu akitaka kukuwekea pesa basi cha muhimu
ni kwamba kwenye namba ya kumbukumbu anapaswa aweke namba yako ya simu.
Kwa sasa wateja
wetu wana uwanja mpana sana wa machaguo wanapotumia huduma za Sokabet. Chagua kubonyeza
*149*35# bila bando au uendelee kutumia tovuti au
application. Lengo letu ni kumfikia kila mmoja, na afurahie uzuri wa kucheza
kistaarabu.
Comments
Post a Comment