SOKABET NI KAMPUNI BORA YA KUBETI
Kuna fursa nyingi za kupata pesa mtandaoni na yawezekana linapofika suala la kubashiri soka huwa unajiuliza “Ni kampuni gani bora ya kubetia soka mwaka huu?”. Usijali, leo nitakuchambulia ubora wa tovuti au app ya kubetia ya sokabet Tanzania. Hizi ni baadhi ya sifa na huduma utakazokutana nazo ukijisajili Sokabet. 1. Unaweza kubeti bure ukishajisajili tu. Maana utapewa bonasi ya sh. 1000 ya bure kabisa. 2. Ukiweka pesa kwa mara ya kwanza unapewa bonasi ya asilimia 100; yaani kama ukiweka 10,000 basi utaongezewa 10,000 nyingine endapo ukapiga simu na kuomba bonasi hiyo. 3. Pia unaweza kubeti bila bando *149*35# kwa wateja wa Airtel, Tigo, Halotel na Vodacom. 4. Pia Sokabet ni kampuni inayorudisha hela yako (cashback) mkeka wako ukichanika pia ukiweka beti tatu unapewa moja ya bure. 5. ...