Posts

Showing posts from February, 2022

JINSI YA KUSHINDA BETI

Image
  DONDOO ZA NAMNA YA KUSHINDA BETI YAKO Yawezekana umekuwa ukijiuliza sana ni jinsi gani unaweza kushinda mamilioni ya shilingi kutonana na kubeti. Sasa leo nitakupa dondoo kadhaa za namna unavyoweza kujishindia mamilioni ya pesa kupitia Sokabet. Kwanza tufahamu kuwa kubeti ni mchezo wa bahati nasibu ikimaanisha kuwa haupaswi kuwa na uhakika wa kushinda kwa asilimia zote; ingawa kuna watu wanapiga pesa 1. Kabla ya Kuweka Mikeka Yako Fanya Utafiti Kamwe usibeti kama haujui mchezo wenyewe unakwendaje. Kama ni mpira wa miguu basi fanya utafiti mdogo kuhusu timu zinazokutana. Angalia madhaifu yao na uimara wao. Ukishajua machache kuhusu timu hizo basi inakuwa rahisi kwako kufanya maamuzi ya kuweka beti kwenye timu A badala ya B. Wengi wanakosea sana wanapoweka ushabiki kwenye kubeti. Kuna matarajio huwa wanayaweka kuhusu timu zako kiasi kwamba ikiteleza kidogo basi pesa yao imekwenda. Hata uwe unaipenda timu yako kiasi gani angalia kwa umakini uwezo wake dhidi ya timu pinzani ndipo

MSHINDI WA BONASI YA JAKPOTI

Image
Hongera nyingi zimuendee ndugu JULIUS MSUYA kutoka Yombo, Dar es salaam kwa kujishindia BONUS ya SOKA 6 JACKPOT kiasi cha 2,525,400 baada ya kubashiri kwa uisahihi matokeo ya mechi 4 kati ya 6. Jakpoti ya milioni 50 ijulikanayo kama SOKA 6 huwa na mechi sita tu na unapaswa ubashiri matokeo sahihi (mfano timu A itafunga goli 3 na timu B itafunga goli 4). Vivyo hivyo kwa jackpot ya milioni 50, ukibashiri sahihi mechi 4 unapata milioni bonasi ya asilimia 10 na ukipatia mechi 5 basi unaondoka na bonasi ya asilimia 20 bila longolongo.  Wahi sasa ujisajili SOKABET na kutumia app ya kubetia ya sokabet basi ni mwendo wa kuvuna pesa mwanzo mwisho. Cheza jakpoti ya Sokabet sasa. Ingia  www.sokabet.co.tz  au  BOFYA HAPA ili uweze kucheza sasa na  ujiamulie ushindi wako

APP NZURI YA KUBETI NI SOKABET

Image
Kama unajiuliza ni app gani bora kwa mwaka huu ya kubetia soka basi jibu ni Sokabet pekee. Najiamini kusema Sokabet ndiyo kampuni bora namba moja ya michezo ya kubashiri mtandaoni hapa Tanzania kutokana na namna inavyojiendesha kitaalamu na weledi. Unapotafuta sehemu ya kuaminika inayoaminika kwa ajili ya kubeti soka mtandoni unapaswa kuwa makini ili usije ukakosea na mwisho wa siku unaishia kujilaumu. Hapa utakutana na mechi kali kila wiki. 1. App ya Android inapatikana kwa urahisi Jinsi ya kupakua (download) App ya Sokabet APK kupitia tovuti ya Sokabeti ni rahisi kabisa. a.                a.    Nenda moja kwa moja kwenye tovuti na jisajili kwa KUBOFYA HAPA       b.        Juu kabisa kushoto utakutana na kitufe kimeandikwa “App” ukikibonyeza basi utafuata maelekezo na moja kwa moja utaipakua. c.        Ukishabonyeza kitufe hicho, “App” itaanza kujipakua d.        Ikishamaliza kujipakua, bonyeza “fungua” (open) e.        Kisha, bonyeza “Install” f.         Endapo simu i

JINSI YA KUPATA PESA MTANDAONI NA SOKABET; ZEPPELIN KASINO YA MTANDAONI

Image
PIGA PESA MTANDAONI NA SOKABET Yaliyomo 1.UNACHEZAJE ZEPPELIN? 2. JAKPOTI ZA ZEPPELIN 3. DROP ZA ZEPPELIN 4. CASHBACK ZA ZEPPELIN Unaweza ukawa unajiuliza kuwa ni sehemu gani ambapo utaweza kujipatia fedha kupitia simu yako ya mkononi; jibu ni moja tu SOKABET ina mchezo uitwao ZEPPELIN wenye kukupa nafasi ya kuuaga umaskini.  Kwenye tovuti/APP ya SOKABET juu kulia utaona alama ya ndege imeandikwa ZEPPELIN; Ukiibonyeza unaingia kwenye mchezo huu pendwa. Ili twende sawa, jisajili kwa KUBOFYA HAPA     1.        UNACHEZAJE ZEPPELIN? Zeppelin ni mchezo unaohusisha uzidishaji wa thamani ya dau lako uliloweka hapo awali. Kunakuwa na ndege inayopaa. HATUA YA KWANZA ni kuweka dau lako. Kama picha hapa chini inayoonyesha, kushoto chini kumeandikwa BET. Wewe andika kiasi chako unachotaka kuweka. Kumbuka mchezo huu wa SOKABET ZEPPELIN unatumia dola sio shilingi kwahiyo piga hesabu; kiwango cha chini ni shilingi 230 ambayo dola 0.1; weka DOLA 0.2 kama unataka ucheze kwa shilingi
💰 Weka mechi zaidi ya moja kwenye mkeka wako upate ushindi mkubwa zaidi na Bonasi yetu ya Multi-Bet ya hadi 700% ➡️ Hakuna Kima cha chini cha Dau ➡️ Kima cha chini cha Odds kwa kila mechi ni 1.20 tu! 📲 Tembelea https://t.co/FlHMjVjKNY ubusti ushindi wako sasa! pic.twitter.com/pfnHR8QJpE — Sokabet Africa (@sokabetafrica) January 25, 2022

JISHINDIE JAKPOTI YA MILIONI 200 AU 50 KWA BUKU TU

Image
Hivi unajua kuwa unaweza kuuaga umasikini kwa buku tu (shilingi 1000)? Ni ndani ya Sokabet pekee unaweza kuvuna kitita cha zaidi ya shilingi milioni 200 au shilingi milioni 50 za kitanzania kwa kucheza jakpoti yenye mechi 13 au ile yenye mechi 6 tu. Sasa yawezekana unajiuliza jinsi ya kushinda jackpot ya Sokabet? ni rahisi tu. ukishaingia kwenye tovuti ya Sokabet www.sokabet.co.tz au ukibofya HAPA utakuta kitufe juu kushoto kimeandikwa Jackpot. Ukibonyeza hapo basi utakutanana na machaguo mawili; la kwanza ni jakpoti yenye mechi 13 ambapo unatakiwa ubashiri matokeo yatakuwaje (timu ya nyumbani kufunga, kufungwa au kutoka droo). Uzuri ni kwamba endapo ukapatia mechi 11 kati ya 13 basi unaondoka na asilimia 10 ya kitita chote ambayo ni zaidi ya shilingi milioni 20, huku ukipatia mechi 12 unaondoka na bonasi ya zaidi ya milioni 40. Jakpoti ya milioni 50 ijulikanayo kama SOKA 6 huwa na mechi sita tu na unapaswa ubashiri matokeo sahihi (mfano timu A itafunga goli 3 na timu B itafunga go

SOKABET NI KAMPUNI BORA YA KUBETI

Image
  Kuna fursa nyingi za kupata pesa mtandaoni   na yawezekana linapofika suala la kubashiri soka huwa unajiuliza   “Ni kampuni gani bora ya kubetia soka mwaka huu?”. Usijali, leo nitakuchambulia ubora wa tovuti au app ya kubetia ya sokabet Tanzania. Hizi ni baadhi ya sifa na huduma utakazokutana nazo ukijisajili Sokabet. 1.        Unaweza kubeti bure ukishajisajili tu. Maana utapewa bonasi ya sh. 1000 ya bure kabisa. 2.        Ukiweka pesa kwa mara ya kwanza unapewa bonasi ya asilimia 100; yaani kama ukiweka 10,000 basi utaongezewa 10,000 nyingine endapo ukapiga simu na kuomba bonasi hiyo.   3.        Pia unaweza kubeti bila bando *149*35# kwa wateja wa Airtel, Tigo, Halotel na Vodacom. 4.        Pia Sokabet ni kampuni inayorudisha hela yako (cashback) mkeka wako ukichanika pia ukiweka beti tatu unapewa moja ya bure. 5.        Kiwango cha chini kabisa cha kubeti ni shilingi 1 ya kitanzania. 6.        Jakpoti yao ya uhakika, ipo ya milioni 200 yenye mechi 13 na ya milioni 5

BETI BILA BANDO NA SOKABET

Image
  Unapojiuliza kuwa ni wapi utabeti bila bado basi jibu lake ni SOKABET. Sasa unaweza kubeti bila bando kwa wateja wa Vodacom, Tigo, Halotel na Airtel. Kwa unaweza kubonyeza *149*35# na kuamua ushindi wako. Utumie simu janja au kiswaswadu, ni wewe tu. Utaweza kubashiri michezo zaidi ya 20, kuweka na kutoa pesa, kuangalia historia ya mikeka yako, na hata kupata taarifa za akaunti yako kwa uharaka kabisa. Haya ni baadhi ya maswali ambayo unaweza ukawa unajiuliza kuhusu huduma hii. 1.        Je ni lazima nifungue akaunti mpya au ileile niliyonayo? Kama laini ya simu uliyosajilia Sokabet hapo awali ndio ipo kwenye simu muda huo unataka kubashiri, basi baada ya kubonyeza *149*35# utapaswa kuchagua lugha na moja kwa moja utaelekezwa kwenye menyu kuu. Tofauti na hapo utakua kama mteja mpya, na baada ya kubonyeza *149*35# utachagua lugha na kisha utatakiwa uingize namba ya simu ujisajili. 2.        Ninawezaje kuweka pesa katika akaunti ya Sokabet ili nibashiri bila bando? Kuweka pes