Unapojiuliza kuwa ni wapi utabeti bila bado basi jibu lake ni SOKABET. Sasa unaweza kubeti bila bando kwa wateja wa Vodacom, Tigo, Halotel na Airtel. Kwa unaweza kubonyeza *149*35# na kuamua ushindi wako. Utumie simu janja au kiswaswadu, ni wewe tu. Utaweza kubashiri michezo zaidi ya 20, kuweka na kutoa pesa, kuangalia historia ya mikeka yako, na hata kupata taarifa za akaunti yako kwa uharaka kabisa. Haya ni baadhi ya maswali ambayo unaweza ukawa unajiuliza kuhusu huduma hii. 1. Je ni lazima nifungue akaunti mpya au ileile niliyonayo? Kama laini ya simu uliyosajilia Sokabet hapo awali ndio ipo kwenye simu muda huo unataka kubashiri, basi baada ya kubonyeza *149*35# utapaswa kuchagua lugha na moja kwa moja utaelekezwa kwenye menyu kuu. Tofauti na hapo utakua kama mteja mpya, na baada ya kubonyeza *149*35# utachagua lugha na kisha utatakiwa uingize namba ya simu ujisajili. 2. Ninawezaje kuweka pesa ...