Posts

Showing posts with the label kampuni inayolipa haraka

MECHI KALI WIKI HII

Image
15/03/2022 Jumanne Manchester United vs Atletico Madrid - Champions League - Saa 5:00 Usiku 12/03/2022 Jumatano Arsenal vs Liverpool - EPL - Saa 05:30 usiku

MSHINDI WA BONASI YA JAKPOTI

Image
Hongera nyingi zimuendee ndugu JULIUS MSUYA kutoka Yombo, Dar es salaam kwa kujishindia BONUS ya SOKA 6 JACKPOT kiasi cha 2,525,400 baada ya kubashiri kwa uisahihi matokeo ya mechi 4 kati ya 6. Jakpoti ya milioni 50 ijulikanayo kama SOKA 6 huwa na mechi sita tu na unapaswa ubashiri matokeo sahihi (mfano timu A itafunga goli 3 na timu B itafunga goli 4). Vivyo hivyo kwa jackpot ya milioni 50, ukibashiri sahihi mechi 4 unapata milioni bonasi ya asilimia 10 na ukipatia mechi 5 basi unaondoka na bonasi ya asilimia 20 bila longolongo.  Wahi sasa ujisajili SOKABET na kutumia app ya kubetia ya sokabet basi ni mwendo wa kuvuna pesa mwanzo mwisho. Cheza jakpoti ya Sokabet sasa. Ingia  www.sokabet.co.tz  au  BOFYA HAPA ili uweze kucheza sasa na  ujiamulie ushindi wako

SOKABET NI KAMPUNI BORA YA KUBETI

Image
  Kuna fursa nyingi za kupata pesa mtandaoni   na yawezekana linapofika suala la kubashiri soka huwa unajiuliza   “Ni kampuni gani bora ya kubetia soka mwaka huu?”. Usijali, leo nitakuchambulia ubora wa tovuti au app ya kubetia ya sokabet Tanzania. Hizi ni baadhi ya sifa na huduma utakazokutana nazo ukijisajili Sokabet. 1.        Unaweza kubeti bure ukishajisajili tu. Maana utapewa bonasi ya sh. 1000 ya bure kabisa. 2.        Ukiweka pesa kwa mara ya kwanza unapewa bonasi ya asilimia 100; yaani kama ukiweka 10,000 basi utaongezewa 10,000 nyingine endapo ukapiga simu na kuomba bonasi hiyo.   3.        Pia unaweza kubeti bila bando *149*35# kwa wateja wa Airtel, Tigo, Halotel na Vodacom. 4.        Pia Sokabet ni kampuni inayorudisha hela yako (cashback) mkeka wako ukichanika pia ukiweka beti tatu unapewa moja ya bure. 5.    ...

BETI BILA BANDO NA SOKABET

Image
  Unapojiuliza kuwa ni wapi utabeti bila bado basi jibu lake ni SOKABET. Sasa unaweza kubeti bila bando kwa wateja wa Vodacom, Tigo, Halotel na Airtel. Kwa unaweza kubonyeza *149*35# na kuamua ushindi wako. Utumie simu janja au kiswaswadu, ni wewe tu. Utaweza kubashiri michezo zaidi ya 20, kuweka na kutoa pesa, kuangalia historia ya mikeka yako, na hata kupata taarifa za akaunti yako kwa uharaka kabisa. Haya ni baadhi ya maswali ambayo unaweza ukawa unajiuliza kuhusu huduma hii. 1.        Je ni lazima nifungue akaunti mpya au ileile niliyonayo? Kama laini ya simu uliyosajilia Sokabet hapo awali ndio ipo kwenye simu muda huo unataka kubashiri, basi baada ya kubonyeza *149*35# utapaswa kuchagua lugha na moja kwa moja utaelekezwa kwenye menyu kuu. Tofauti na hapo utakua kama mteja mpya, na baada ya kubonyeza *149*35# utachagua lugha na kisha utatakiwa uingize namba ya simu ujisajili. 2.        Ninawezaje kuweka pesa ...