Posts

JACKPOT BOMBA YA SOKABET | SHINDA MAMILIONI

Image
  JACKPOT BOMBA YA SOKABET: Soka 6 JACKPOT imeshatuna tayari inakusubiri wewe uamue ushindi wako kwa buku tu (shilingi 1000). Jackpot hii pekee kutoka SOKABET ina mechi 6 tu ambazo unatakiwa ujaze matokeo sahihi yaani "correct score" ili ujishindie mzigo wa zaidi ya shilingi milioni 50. Jackpot bonus haijakaa mbali na wewe endapo ukashindwa kubeti kwa usahihi mechi zote. Ukipatia mechi nne utapata asilimia 10 ya milioni 50 huku ukipatia mechi 5 unaondoka na asilimia 20 ya milioni 50 kama bonus. Cheza j ackpot sasa kwa kubofya HAPA au piga *149*35# uvune mpunga wako kutoka SOKABET.

PATA CASHBACK BONUS ZA SOKABET SASA

Image
SOKABET ni kampuni yenye CASHBACK nyingi na za uhakika. Si unajua tena kuna maumivu sana unapotengeneza mkeka wako na ukachanika? Beti na SOKABET uone uzuri wake maana hakuna kupoteza , Tunakurudishia 10% ya dau lako kila siku kwenye upande wa sports na Casino Piga simu namba 0746983630 au nenda live chat, kwenye tovuti/App na kudai Cashback yako! Palipoelekezwa na mshale. Beti kwa shilingi 1, beti casino kupitia tovuti au App ya SOKABET. Bofya HAPA uendelee kufurahia huduma za K AMPUNI BORA YA KUBETI MTANDAONI TANZANIA. Jiunge na SOKABET sasa.

CHIMBO LA CASINO SOKABET | JAKPOTI ZA MAMILIONI

Image
Kutoka chimbo namba moja la Casino ya mtandaoni Tanzania, lenye m ichezo zaidi ya 5,000, f urahia online casino kutoka Sokabet kwa michezo yenye Jackpot kubwa na ndogo. Michezo ya Casino kama ZEPPELIN, na SLOT za EGT ina Jackpot zinazoweza kufanya uage umaskini.  Kuna zaidi ya mamilioni kwenye PLATINUM JACKPOT ya slots za EGT na michezo mingine. Cheza michezo kama Rise of Ra Egypt Quest, Halloween Egypt Quest, Egypt Sky Egypt Quest, Circus Brilliant Egypt Quest n.k uamue ushindi wako. Ni Sokabet pekee. Bonyeza HAPA ucheze sasa. #ChimboLaCasino

CHEZA SLOT BURE NA SOKABET

Image
Casino ya mtandaoni au  online casino  ya SOKABET inakupa nafasi kubwa ya kucheza ukiwa mahali popote na kushinda pesa. Uzuri ni kwamba unaweza kucheza Slot bila pesa kabisa, yaani Free Play, kwa kutumia simu yako. Ukiingia kwenye menyu ya Slot utatakiwa uchague kucheza kwa pesa halisi au mchezo wa bure. Cheza bure uongeze uzoefu na kujiamini. Furahia Slot kama Sweet bonanza  kwa kubonyeza HAPA . Achana na karaha za slot machine mitaani, cheza slot na   SOKABET

CHEZA CASINO MTANDAONI SOKABET

Image
Michezo ya Casino inavyoweza kukuinua kiuchumi. Michezo ya Casino kama labda tayari unajua, ni kati ya burudani zinayopendwa na watu wengi. Hivi sasa watu wengi wamehamia kwenye ulimwengu wa kasino mtandaoni. Ukiingia kwenye tovuti ya Sokabet  utakutana na michezo lukuki ya Casino zaidi ya 2000 ambayo unaweza kujipatia pesa huku ukiwa umepumzika nyumbani kwako au popote pale. Kuna virtual games, slots, michezo ya kete, Zeppelin, blackjack, poker, monopoly na michezo mingine ya Casino, ambayo inapatikana kwa urahisi kabisa. Kizuri ni kwamba unaweza kucheza michezo yote kwa kutumia simu janja yako. Relax huku ukipiga pesa zako kiulaini kabisa na Sokabet Casino mtandaoni. BOFYA HAPA ujisajili kisha ujiamulie ushindi wako. Kama kawaida ukiwa unahitaji kufahamu zaidi basi usisite kuwasiliana na kitengo cha huduma kwa wateja kupitia namba 0746983630 muda wowote.

WATU WANAVYOSHINDA BODABODA MPYA NA PESA JUU YAKE KUTOKA SOKABET

Image
Habari njema kwa sasa Sokabet tumekuletea promosheni ya JIBUSTI NA SOKABETI ambapo wewe mdau wa michezo ya kubashiri unaweza kuondoka na bodaboda mpya kabisa pamoja na pesa taslimu bila kutumia nguvu.  Ili ushinde bodaboda unatakiwa ufuate kanuni rahisi zifuatazo:- 1. Kwanza unapaswa ujisajili na Sokabeti kupitia tovuti yetu BOFYA HAPA   lakini kama una simu ndogo au hauna bando basi ni rahisi tu bonyeza *149*35# 2. Baada ya kujisajili unatakiwa utumie kiasi cha shilingi elfu tano 5000 au zaidi ndani ya wiki moja. Droo inachezeshwa kila ifikapo jumatatu mchana. Ukiachana na bodaboda, unaweza kujishindia hadi TZS 1,000,000 kwenye #SportsTournament  Kila mkeka wako unapotiki, unajishindia pointi zinazokuweka kwenye orodha ya washindi 20 watakaogawana kitita cha shilingi 3,333,333 kila wiki. Hii ndio Sokabet, unashinda zaidi na zaidi.  Jisajili sasa kupitia link hapo juu na kama utakutana na changamoto yoyote basi usisite kupiga simu namba 0746983630 muda wowote. 

SHINDA JAKPOTI KIULAINI KABISA

Image
Mshindi wa MILIONI 2,528,237/= za  #Soka6Jackpot  Bonus ndugu SCANDER HANIF MUSSA kutoka Kigamboni, Dar es salaam. Ndugu Scander ameshinda kiasi hiko baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 4 kati ya 6 kwenye mkeka wake kwa dau la BUKU tu! Amua Ushindi Wako sasa kwa kuCheza JACKPOT zetu uwe MILIONEA!  BOFYA HAPA ili uzame SOKABET