APP NZURI YA KUBETI NI SOKABET


Kama unajiuliza ni app gani bora kwa mwaka huu ya kubetia soka basi jibu ni Sokabet pekee. Najiamini kusema Sokabet ndiyo kampuni bora namba moja ya michezo ya kubashiri mtandaoni hapa Tanzania kutokana na namna inavyojiendesha kitaalamu na weledi. Unapotafuta sehemu ya kuaminika inayoaminika kwa ajili ya kubeti soka mtandoni unapaswa kuwa makini ili usije ukakosea na mwisho wa siku unaishia kujilaumu. Hapa utakutana na mechi kali kila wiki.

1. App ya Android inapatikana kwa urahisi

Jinsi ya kupakua (download) App ya Sokabet APK kupitia tovuti ya Sokabeti ni rahisi kabisa.

a.               a.   Nenda moja kwa moja kwenye tovuti na jisajili kwa KUBOFYA HAPA

      b.       Juu kabisa kushoto utakutana na kitufe kimeandikwa “App” ukikibonyeza basi utafuata maelekezo na moja kwa moja utaipakua.

c.       Ukishabonyeza kitufe hicho, “App” itaanza kujipakua

d.       Ikishamaliza kujipakua, bonyeza “fungua” (open)

e.       Kisha, bonyeza “Install”

f.        Endapo simu ikakuletea maelezo ya ziada (install from unknown sources) nenda kwenye mpangilio kwenye simu yako (settings) na ubonyeze Security kisha ruhusu sehemu iliyowekwa kwa neno “Uknown Sources”

g.       Ukimaliza ku ‘install” basi App ya Sokabet itakuwa imeshajihifadhi kwenye simu yako.

h.       Hapo sasa una nafasi ya kuweka pesa na kuanza kubeti na Sokabet.

App hii inafunguka kwa wepesi na haraka hivyo kuwa ni sahihi kabisa kwako kuitumia mwaka huu.

2. App ya sokabet inakupa nafasi ya kuchagua mtoa huduma unayemtaka

Hii ni ya kipekee kabisa. Sokabet tumefanya maboresho ya huduma zetu ambapo kuna mwonekano mpya umeongezeka kwenye Tovuti/App. Wameongeza provider mpya kwa upande wa sports ili kuwawezesha wateja kupata huduma nzuri zaidi za kubashiri kwa urahisi, haraka na kwa wakati.

Unachotakiwa kufanya ni kuchagua (muda wowote unaweza kubadilisha) ni provider yupi utapendelea kutumia kati ya BetSolutions (mwonekano wa siku zote), Altenar (mwonekano mpya) au Altenar Lite (mwonekano mpya kwa watumiaji wa simu za Android tu na kama mtandao wa internet uko chini).

Mambo ya kuzingatia ni katika mwonekano mpya wa Altenar;

1. Ni nyepesi na inafunguka kwa haraka zaidi hata kwenye Slow Internet

2. Inatumia kiasi kidogo sana cha internet

3. Unaweza kubeti kuanzia dau dogo kabisa la Sh.1/=

4. Unaweza ku-book beti yako na kuhifadhi Booking Code na baadae kuitumia kukamilisha beti yako

5. Unaweza ku-share na rafiki yako Booking Code yako au Bet ID yako nayeye akaitumia kuweka beti yake

Ukichagua muonekano wa Betsolution basi utaendelea kufurahia michezo mbalimbali, slots, live games, casino mubashara n.k.

Kwahiyo ukichagua mtoa huduma yeyete utaweza kukuta michezo maarufu hutoa orodha ya kipekee ya michezo ya soka ya kitaifa na kimataifa. Sokabet hautahangaika kuona Ligi Kuu ya Uingereza, Bundesliga ya Ujerumani au La liga ya Uhispania na mashindano ya kimataifa kama kombe la Dunia la FIFA, kombe la UEFA pamoja na Kombe la FA. Kwa ufupi ligi nyingi zipo ndani ya App hii.

3. Unaweza kubeti live au pre-match.

Kupitia App ya Sokabet unaweza kubeti live (mechi ikiwa inaendelea) au kabla ya mechi kuanza (pre-match). Watu wengi wanapenda kubeti kabla mechi haijaanza ili wapate uwanja mpana kabisa wa machaguo. Unaweza kuweka mikeka ya soka kwenye machaguo mbalimbali kama vile, kadi, magoli, faulo na hadi over/under. Kwahiyo kwenye mechi moja pekee unaweza kukuta machaguo zaidi ya 400; ni wewe tu uamue ubeti nini, kama vile “double chance”, handicaps, “over / under”, kadi na faulo (kwa pre-match pekee). Na hata mechi ikashaanza kuchezwa unaweza kuendelea kubashiri live magoli ya kipindi cha kwanza, au kipindi cha pili au nani atafunga n.k

5. Njia rahisi za kuweka pesa kwa kutumia simu

Kwa kutumia huduma kama Airtel money, M-pesa, Halo Pesa, Tigo pesa, Selcom na Visa Mastercard basi unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Sokabet kwa urahisi kabisa. Kuweka pesa ni rahisi sana, unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye menyu ya malipo kulingana na mtandao unaotumia kisha chagua lipa bili na weka 335757 kama namba ya kampuni. Kisha unatakiwa uweke namba yako ya simu kama namba ya kumbukumbu. Utamaliza utaratibu wa malipo kwa kuingiza namba ya siri. Umemaliza.

6. Huduma za kuaminika kwa wateja

Ubora wa kampuni ya Sokabet ni kwamba unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja muda wowote kwa masaa 24. Ukipiga namba yao 0746983630 utaweza kuulizia kila kitu unachohitaji kujua kuhusu huduma za Sokabet. Jisajili sasa au BOFYA HAPA kupakua app moja kwa moja.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

JACKPOT BOMBA YA SOKABET | SHINDA MAMILIONI

CHEZA SLOT BURE NA SOKABET

SHINDA JAKPOTI KIULAINI KABISA