JINSI YA KUPATA PESA MTANDAONI NA SOKABET; ZEPPELIN KASINO YA MTANDAONI
Yaliyomo
1.UNACHEZAJE
ZEPPELIN?
2. JAKPOTI ZA
ZEPPELIN
3. DROP ZA
ZEPPELIN
4. CASHBACK
ZA ZEPPELIN
Unaweza ukawa unajiuliza kuwa ni sehemu gani ambapo utaweza kujipatia fedha kupitia simu yako ya mkononi; jibu ni moja tu SOKABET ina mchezo uitwao ZEPPELIN wenye kukupa nafasi ya kuuaga umaskini. Kwenye tovuti/APP ya SOKABET juu kulia utaona alama ya ndege imeandikwa ZEPPELIN; Ukiibonyeza unaingia kwenye mchezo huu pendwa. Ili twende sawa, jisajili kwa KUBOFYA HAPA
Zeppelin ni mchezo
unaohusisha uzidishaji wa thamani ya dau lako uliloweka hapo awali. Kunakuwa na
ndege inayopaa.
HATUA YA KWANZA ni kuweka dau lako. Kama picha hapa chini
inayoonyesha, kushoto chini kumeandikwa BET. Wewe andika kiasi chako unachotaka
kuweka. Kumbuka mchezo huu wa SOKABET ZEPPELIN unatumia dola sio shilingi
kwahiyo piga hesabu; kiwango cha chini ni shilingi 230 ambayo dola 0.1; weka
DOLA 0.2 kama unataka ucheze kwa shilingi 460, yaani wewe kumbuka tu kwamba DOLA
MOJA NI SHILINGI 2,305 (hubadilika kulingana na soko). Kwa hapa mimi nitaweka DOLA
0.1 na kusubiria raundi inayofuata.
HATUA YA PILI ni kuweka beti yako. UTASUBIRI MPAKA RAUNDI IISHE (NDEGE ILIPUKE) Kisha kuna muda wa sekunde 6 za wewe kuweka beti yako. Utabonyeza palipoandikwa PLACE YOUR BET. Kisha subiri.
HATUA YA TATU Kila raundi inaanza na 1.00 kisha inaanza kupanda huwa inaweza kufika hadi 900. Ila inalipuka muda wowote. Inaweza kulipuka kwenye 1.00 hiyohiyo, 2.02, 5.06 yaani namba yoyote ile. Kwa hiyo ndege inavyoanza kupaa basi thamani ya ushindi wako inaanza kuongezeka. Unachotakiwa wewe kufanya ni kubonyeza CASHOUT (kuokoa mkeka) kabla haijalipuka ndipo unakuwa umeshinda. Ikipasuka kabla hujabonyeza CASH OUT unakuwa umepoteza dau lako.
Kama uliweka
dola 1 na ikapaa kisha ukabonyeza CASHOUT kwenye 2.00 basi ile dola yako
inazidishwa mara 2.00 ndio ushindi wako.
Kwa kuwa mimi niliweka DOLA 0.1 basi ilipofikia 2.09 nikabonyeza CASHOUT
Hivyo nimeshinda DOLA 0.21, nikitaka kucheza tena basi nasubiri raundi iishe kisha na PLACE BET tena. Namna hiyo unaweza kujikuta mambo yanakuendea vizuri kabisa.
2. JAKPOTI ZA
ZEPPELIN
Mbali na hayo
marupurupu unayoweza kujishindia kuna jackpot kubwa mbili. Moja inaitwa OKSIJENI
na nyingine inaitwa HELIUM. Jackpot zote hizi mbili hugawanywa kwa wachezaji
muda wowote. Kwa hiyo walioko ndani ya mchezo kwa muda huo hunufaika na
mgawanyo wa jackpot ya ZEPPELIN. Ili upate gawio inatakiwa uwe ume-CASH OUT helikopta
inapofika namba 2 na kuendelea.
3.DROP YA
ZEPPELIN
Lakini pia
kuna wale wanaoishiwa dau. Kuna bonas ya DOLA 250 ambayo hutolewa kwa wacheza
zeppelin kila baada ya saa moja, kila siku. Jina maarufu ni DROP. DROP HII kwa
kawaida hufanyika kila inapotimu saa kamili.
4. CASHBACK
YA ZEPPELINI
Kama kawaida
ya SOKABET, ukipata hasara kuanzia shilingi 10,000, unapaswa kupiga simu
kitengo cha huduma kwa wateja SOKABET namba 0746983630. Hii ndiyo namna ya
kupata pesa mtandaoni na SOKABET.
Furahia huku ukipiga pesa za ZEPPELIN Ingia kwenye tovuti ya SOKABET ujisajili kwa KUBOFYA HAPA
Comments
Post a Comment