MSHINDI WA BONASI YA JAKPOTI

Hongera nyingi zimuendee ndugu JULIUS MSUYA kutoka Yombo, Dar es salaam kwa kujishindia BONUS ya SOKA 6 JACKPOT kiasi cha 2,525,400 baada ya kubashiri kwa uisahihi matokeo ya mechi 4 kati ya 6.

Jakpoti ya milioni 50 ijulikanayo kama SOKA 6 huwa na mechi sita tu na unapaswa ubashiri matokeo sahihi (mfano timu A itafunga goli 3 na timu B itafunga goli 4). Vivyo hivyo kwa jackpot ya milioni 50, ukibashiri sahihi mechi 4 unapata milioni bonasi ya asilimia 10 na ukipatia mechi 5 basi unaondoka na bonasi ya asilimia 20 bila longolongo. 

Wahi sasa ujisajili SOKABET na kutumia app ya kubetia ya sokabet basi ni mwendo wa kuvuna pesa mwanzo mwisho. Cheza jakpoti ya Sokabet sasa. Ingia www.sokabet.co.tz au BOFYA HAPA ili uweze kucheza sasa na ujiamulie ushindi wako

Comments

Popular posts from this blog

JACKPOT BOMBA YA SOKABET | SHINDA MAMILIONI

CHEZA SLOT BURE NA SOKABET

SHINDA JAKPOTI KIULAINI KABISA