JINSI YA KUSHINDA BETI

 


DONDOO ZA NAMNA YA KUSHINDA BETI YAKO

Yawezekana umekuwa ukijiuliza sana ni jinsi gani unaweza kushinda mamilioni ya shilingi kutonana na kubeti. Sasa leo nitakupa dondoo kadhaa za namna unavyoweza kujishindia mamilioni ya pesa kupitia Sokabet. Kwanza tufahamu kuwa kubeti ni mchezo wa bahati nasibu ikimaanisha kuwa haupaswi kuwa na uhakika wa kushinda kwa asilimia zote; ingawa kuna watu wanapiga pesa

1. Kabla ya Kuweka Mikeka Yako Fanya Utafiti

Kamwe usibeti kama haujui mchezo wenyewe unakwendaje. Kama ni mpira wa miguu basi fanya utafiti mdogo kuhusu timu zinazokutana. Angalia madhaifu yao na uimara wao. Ukishajua machache kuhusu timu hizo basi inakuwa rahisi kwako kufanya maamuzi ya kuweka beti kwenye timu A badala ya B.

Wengi wanakosea sana wanapoweka ushabiki kwenye kubeti. Kuna matarajio huwa wanayaweka kuhusu timu zako kiasi kwamba ikiteleza kidogo basi pesa yao imekwenda. Hata uwe unaipenda timu yako kiasi gani angalia kwa umakini uwezo wake dhidi ya timu pinzani ndipo uweke beti yako. Muda mwingine jifunze kutokana na makosa.

2. Jifunze Kubeti kwa Options.

Ukiingia kwenye tovuti ya sokabet www.sokabet.co.tz upande wa sports, usishangae kukuta mechi moja ina options (machaguo) zaidi ya 400. Wengi wamezoea kubeti kati ya kufunga, kufungwa na droo pekee; ilihali kuna machaguo kama mfungaji wa goli, matokeo ya kipindi cha kwanza, atakayepewa kadi, matokeo sahihi ya mwisho nk. Kuna machaguo yanayopendwa na wengi kama double chance,handicap nk. Machaguo hayo yapo ili kukusaidia wewe usiwe na uwanja mdogo.

3. Fahamu Huduma ya Cashout

Kuna muda mwingine unaweza kuona beti uliyoweka haitakuzalia matunda hivyo unaamua kuokoa mkeka wako kabla haujaungua. Hii inaitwa Cashout. Yaani unatoa pesa yako kabla mechi haijachezwa ambayo unahisi itakuharibia beti yako. Sasa kampuni ya kubeti hapa Tanzania, SOKABET inakupa huduma ya kutoa pesa yako kabla mkeka mzima haujaungua. Usisubiri MKEKA WAKO uchanike, OKOA MKEKA WAKO na huduma ya CASHOUT ukiwa SOKABET.

4. Chagua kati ya Pre-match na Live Betting

Raha ya kubeti kabla mechi haijaanza (pre-match) ni kuwa na machaguo mengi na odds kuwa kubwa. Hii inajumuisha pia na fursa ya kutoa pesa yako (cashout). Live betting odds zinabadilika kadiri muda unavyokwenda.

5. Cheza Mchezo Mmoja Unaouweza Vizuri

kama unajua kabisa kwamba unaweza kucheza mchezo fulani ambao wewe una uelewa nao basi kuna asilimia kubwa ya wewe kupiga pesa. kama ni upande wa sports ndio uko konki basi tafuta mechi ambazo utaweza kubetia na upige pesa. kama una uelewa kuhusu michezo ya kasino basi cheki michezo yako kadhaa na uweke beti yako. Kamwe usiweke pesa yako kwenye mchezo ambao hauna ufahamu nao. utaishia kulia.

6. Kuwa na Mawasiliano ya Kampuni Unayobashiria

Hii inasaidia pale unapotaka kuelewa kuhusu chochote kinachoendelea. Kwa upande wa Sokabet namba 0746983630 inapatikana muda wote

Ukijisajili SOKABET na kutumia app ya kubetia ya sokabet basi ni mwendo wa kuvuna pesa mwanzo mwisho. Cheza jakpoti ya Sokabet sasa. Ingia www.sokabet.co.tz au BOFYA HAPA ujiamulie ushindi wako.

 

Comments

Popular posts from this blog

JACKPOT BOMBA YA SOKABET | SHINDA MAMILIONI

CHEZA SLOT BURE NA SOKABET

SHINDA JAKPOTI KIULAINI KABISA