Posts

Showing posts with the label kubeti

MSHINDI WA BONASI YA JAKPOTI

Image
Hongera nyingi zimuendee ndugu JULIUS MSUYA kutoka Yombo, Dar es salaam kwa kujishindia BONUS ya SOKA 6 JACKPOT kiasi cha 2,525,400 baada ya kubashiri kwa uisahihi matokeo ya mechi 4 kati ya 6. Jakpoti ya milioni 50 ijulikanayo kama SOKA 6 huwa na mechi sita tu na unapaswa ubashiri matokeo sahihi (mfano timu A itafunga goli 3 na timu B itafunga goli 4). Vivyo hivyo kwa jackpot ya milioni 50, ukibashiri sahihi mechi 4 unapata milioni bonasi ya asilimia 10 na ukipatia mechi 5 basi unaondoka na bonasi ya asilimia 20 bila longolongo.  Wahi sasa ujisajili SOKABET na kutumia app ya kubetia ya sokabet basi ni mwendo wa kuvuna pesa mwanzo mwisho. Cheza jakpoti ya Sokabet sasa. Ingia  www.sokabet.co.tz  au  BOFYA HAPA ili uweze kucheza sasa na  ujiamulie ushindi wako

APP NZURI YA KUBETI NI SOKABET

Image
Kama unajiuliza ni app gani bora kwa mwaka huu ya kubetia soka basi jibu ni Sokabet pekee. Najiamini kusema Sokabet ndiyo kampuni bora namba moja ya michezo ya kubashiri mtandaoni hapa Tanzania kutokana na namna inavyojiendesha kitaalamu na weledi. Unapotafuta sehemu ya kuaminika inayoaminika kwa ajili ya kubeti soka mtandoni unapaswa kuwa makini ili usije ukakosea na mwisho wa siku unaishia kujilaumu. Hapa utakutana na mechi kali kila wiki. 1. App ya Android inapatikana kwa urahisi Jinsi ya kupakua (download) App ya Sokabet APK kupitia tovuti ya Sokabeti ni rahisi kabisa. a.                a.    Nenda moja kwa moja kwenye tovuti na jisajili kwa KUBOFYA HAPA       b.        Juu kabisa kushoto utakutana na kitufe kimeandikwa “App” ukikibonyeza basi utafuata maelekezo na moja kwa moja utaipakua. c.        Ukishabonyeza kitufe hicho, “App” itaanza kujipakua...

JINSI YA KUPATA PESA MTANDAONI NA SOKABET; ZEPPELIN KASINO YA MTANDAONI

Image
PIGA PESA MTANDAONI NA SOKABET Yaliyomo 1.UNACHEZAJE ZEPPELIN? 2. JAKPOTI ZA ZEPPELIN 3. DROP ZA ZEPPELIN 4. CASHBACK ZA ZEPPELIN Unaweza ukawa unajiuliza kuwa ni sehemu gani ambapo utaweza kujipatia fedha kupitia simu yako ya mkononi; jibu ni moja tu SOKABET ina mchezo uitwao ZEPPELIN wenye kukupa nafasi ya kuuaga umaskini.  Kwenye tovuti/APP ya SOKABET juu kulia utaona alama ya ndege imeandikwa ZEPPELIN; Ukiibonyeza unaingia kwenye mchezo huu pendwa. Ili twende sawa, jisajili kwa KUBOFYA HAPA     1.        UNACHEZAJE ZEPPELIN? Zeppelin ni mchezo unaohusisha uzidishaji wa thamani ya dau lako uliloweka hapo awali. Kunakuwa na ndege inayopaa. HATUA YA KWANZA ni kuweka dau lako. Kama picha hapa chini inayoonyesha, kushoto chini kumeandikwa BET. Wewe andika kiasi chako unachotaka kuweka. Kumbuka mchezo huu wa SOKABET ZEPPELIN unatumia dola sio shilingi kwahiyo piga hesabu; kiwango cha chini ni shilingi 230 ambayo dola 0.1; wek...
💰 Weka mechi zaidi ya moja kwenye mkeka wako upate ushindi mkubwa zaidi na Bonasi yetu ya Multi-Bet ya hadi 700% ➡️ Hakuna Kima cha chini cha Dau ➡️ Kima cha chini cha Odds kwa kila mechi ni 1.20 tu! 📲 Tembelea https://t.co/FlHMjVjKNY ubusti ushindi wako sasa! pic.twitter.com/pfnHR8QJpE — Sokabet Africa (@sokabetafrica) January 25, 2022

JISHINDIE JAKPOTI YA MILIONI 200 AU 50 KWA BUKU TU

Image
Hivi unajua kuwa unaweza kuuaga umasikini kwa buku tu (shilingi 1000)? Ni ndani ya Sokabet pekee unaweza kuvuna kitita cha zaidi ya shilingi milioni 200 au shilingi milioni 50 za kitanzania kwa kucheza jakpoti yenye mechi 13 au ile yenye mechi 6 tu. Sasa yawezekana unajiuliza jinsi ya kushinda jackpot ya Sokabet? ni rahisi tu. ukishaingia kwenye tovuti ya Sokabet www.sokabet.co.tz au ukibofya HAPA utakuta kitufe juu kushoto kimeandikwa Jackpot. Ukibonyeza hapo basi utakutanana na machaguo mawili; la kwanza ni jakpoti yenye mechi 13 ambapo unatakiwa ubashiri matokeo yatakuwaje (timu ya nyumbani kufunga, kufungwa au kutoka droo). Uzuri ni kwamba endapo ukapatia mechi 11 kati ya 13 basi unaondoka na asilimia 10 ya kitita chote ambayo ni zaidi ya shilingi milioni 20, huku ukipatia mechi 12 unaondoka na bonasi ya zaidi ya milioni 40. Jakpoti ya milioni 50 ijulikanayo kama SOKA 6 huwa na mechi sita tu na unapaswa ubashiri matokeo sahihi (mfano timu A itafunga goli 3 na timu B itafunga go...