Posts

Showing posts with the label Cashout

OKOA MKEKA WAKO NA SOKABET CASHOUT

Image
USISUBIRI MPAKA MKEKA WAKO UCHANIKE; CASHOUT NA SOKABET Ni ukweli kwamba huwa inauma sana pale mechi moja tu kati ya tano ulizozibetia inatoa matokeo tofauti na uliyobashiri. Unaweza ukalia. Sasa kampuni ya kubeti hapa Tanzania, SOKABET inakupa huduma ya kutoa pesa yako kabla mkeka mzima haujaungua. Usisubiri  MKEKA WAKO  uchanike,  OKOA MKEKA WAKO  na huduma ya CASHOUT ukiwa SOKABET. Ili ufanye CASHOUT na SOKABET unachotakiwa kufanya ni:- -Nenda kwenye kipengele cha MY BETS - Chagua na fungua mkeka unaotaka kufanya CASHOUT ( ulio hai bado) -Pembeni ya beti yako kuna neno OUT -Bonyeza na kubali kiasi utakachopokea Lakini pia endapo mkeka ukachanika kabisa basi kuna CASHBACK BONUS kila siku (unarudishiwa dau lako) kwa kupiga simu 0746983630 Tembelea kubeti sasa   BOFYA HAPA      SOKABET AMUA USHINDI WAKO

JINSI YA KUSHINDA BETI

Image
  DONDOO ZA NAMNA YA KUSHINDA BETI YAKO Yawezekana umekuwa ukijiuliza sana ni jinsi gani unaweza kushinda mamilioni ya shilingi kutonana na kubeti. Sasa leo nitakupa dondoo kadhaa za namna unavyoweza kujishindia mamilioni ya pesa kupitia Sokabet. Kwanza tufahamu kuwa kubeti ni mchezo wa bahati nasibu ikimaanisha kuwa haupaswi kuwa na uhakika wa kushinda kwa asilimia zote; ingawa kuna watu wanapiga pesa 1. Kabla ya Kuweka Mikeka Yako Fanya Utafiti Kamwe usibeti kama haujui mchezo wenyewe unakwendaje. Kama ni mpira wa miguu basi fanya utafiti mdogo kuhusu timu zinazokutana. Angalia madhaifu yao na uimara wao. Ukishajua machache kuhusu timu hizo basi inakuwa rahisi kwako kufanya maamuzi ya kuweka beti kwenye timu A badala ya B. Wengi wanakosea sana wanapoweka ushabiki kwenye kubeti. Kuna matarajio huwa wanayaweka kuhusu timu zako kiasi kwamba ikiteleza kidogo basi pesa yao imekwenda. Hata uwe unaipenda timu yako kiasi gani angalia kwa umakini uwezo wake dhidi ya timu pinzani n...